Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage?

Lyrics Master

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2016
Posts
479
Reaction score
670
Habari Wakuu,

Nimesafiri Mbeya kikazi, Nina uchovu wa safari manake nimesafiri na private car.

Hivi hapa Mbeya kuna sehemu naweza pata huduma ya massage yaani ile hot massage na mabinti warembo wenye kujua kazi yao...

Nitashukuru kama nitapatiwa na Bei zake..

Ahsanteni Sana
 
Wanaume wa Dar wanatia aibu kusafiri kidogo tu unalalamika uchovu [emoji57]!,ushawahi kusafiri km3000 na lori wewe si ndio utakufa kabisa
 
Back
Top Bottom