barafuyamoto
JF-Expert Member
- Jul 26, 2014
- 32,378
- 29,739
Mbeya sasa wameamua kuachana na uhuni. Wanataka maendeleo!Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Kumbe una mbunge wako? Halafu wengine wakisema Sugu anashinda unasema wamegeuka Tume ya Uchaguzi!Okay. Ni wakati Sasa Sugu apishe ili Mbeya ifaidi maendeleo
Kumbe Sugu hana tofauti na Mwenyekiti wake? Namsikiaga na kiingereza chake kimoja tu cha 'Numbers don't lie'Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Huyo ambae si msomi Hakua msaada kwa waliomchagua miaka 10 mfululizo. Ndo maana tunataka Msomi sasa
AsanteeMbeya sasa wameamua kuachana na uhuni. Wanataka maendeleo!
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
IlalaTupe mifano ya majimbo ambayo yanayoongozwa na wasomi na wamefanya nini, ukilinganisha na majimbo ambayo yanaongozwa na hao unaoona si wasomi na wamefanya nini, then uone tofauti.
Ilala wamefanya nini? Ukitaka kutuaminisha kuwa wabunge wasomi ndo wenye uwezo wa kuleta meandeleo, basi utupe mifano, alafu tulinganishe baina ya wasomi na wasiosoma kiasilimia (%) ni wepi wamefanya vizuri?Ilala
kwani aliposhinda 2015 na hukumchagua wewe ndo ulikuwa msimamizi wa uchaguziNaona umejigeuza Msimamizi wa uchaguzi ghafla. Jiandae kisaikolojia
Binafsi sikumpigia kura 2015kwani aliposhinda 2015 na hukumchagua wewe ndo ulikuwa msimamizi wa uchaguzi
c ndiyo ulivyo na roho mbaya usipopiga maelfu wanampigia na atashinda tena utakonda bure kwa stressBinafsi sikumpigia kura 2015
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.
Jimbo limekosa maendeleo kwa kipindi kirefu
Acha kukiuka Katiba ya chama Katiba inasema Mbunge ajue kusoma na kuandika,Maendeleo haihitaji PhD majimbo wangapi wabunge wake wa Phd hayana maji wala shuleKwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.
Kila la heri watia nia.