Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Wabunge hawa wakishindwa ntafanya sherehe kubwa sana
- Lema
- Mdee
- Sugu
- Heche
- Bulaya
Sababu za kufanya sherehe, hawa wabunge wanajifanyanga wana akili sana kuliko mtu yoyote kitu ambacho sio kweli na ni mabingwa wa kuropokaropoka
 
Tulia anadanganywa sana sugu ndiyo alikuwa most voted MP
 
Hata Sugu anajua kuwa Dr. Betina anasubiri kuapishwa mwezi Novemba kuwa mbunge wa jimbo la Mbeya mjini.
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.

Tupe mifano ya majimbo ambayo yanayoongozwa na wasomi na wamefanya nini, ukilinganisha na majimbo ambayo yanaongozwa na hao unaoona si wasomi na wamefanya nini, then uone tofauti.
 
Tupe mifano ya majimbo ambayo yanayoongozwa na wasomi na wamefanya nini, ukilinganisha na majimbo ambayo yanaongozwa na hao unaoona si wasomi na wamefanya nini, then uone tofauti.
Ilala
 
Ilala wamefanya nini? Ukitaka kutuaminisha kuwa wabunge wasomi ndo wenye uwezo wa kuleta meandeleo, basi utupe mifano, alafu tulinganishe baina ya wasomi na wasiosoma kiasilimia (%) ni wepi wamefanya vizuri?
 
Usomi wake unakusaidia nn kwa wananchi. Yapo majimbo yanaongozwa na wabunge wenye elimu ya kawaida sana, lakini mambo YA naenda. Sisi hatuangalii elimu, elimu itamsaidia yeye na familia yake
 
Yaani upo kwenu koromomije unapataje ujasili wa kutupangia sisi wana mbeya aina ya mbunge?

Punguza ugoro unao ubugia huo
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Acha kukiuka Katiba ya chama Katiba inasema Mbunge ajue kusoma na kuandika,Maendeleo haihitaji PhD majimbo wangapi wabunge wake wa Phd hayana maji wala shule
 
Back
Top Bottom