Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Uchaguzi 2020 Mbeya (M) tunataka Mbunge Msomi

Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Mwuiteni yule profesa wa CCM aliyesema Tanzania ni muungano wa Zanzibar na Zimbabwe na huko CCM wamejaa.
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Kabla ya sugu wananchi walikuwa matajiri?
 
Mnataka wasomi wa kupindisha sheria na taratibu na kwenda kinyume na katiba kama ni usomi huo sawa ila kama mnataka wa kuwasemea wananchi nadhani wapo
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
sasa kama hamfanyi kazi awaletee pesa nyumbani
 
Miaka 10 ya SUGU kafanya nini Mbeya zaidi ya kujineemesha binafsi? Show off mitandaoni. Huku Wapiga kura wamezungukwa na umaskini wa kutupa
Kwahiyo Sugu ndo kaleta umaskini acha ukilaza wewe sugu ndo anakusanya Kodi yenu wee hujui anaeleta umaskini mbeya na Tanzania?
 
kwa hiyo sugu awaletee maendeleo kwa fedha zake za mfukoni,badala ya kupambana na lifisiemu linalopokea kodi mnamwandama sugu wapuuuzi
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Huo utitiri wa maprofesa mliokuwa nao tangu uhuru wameisaidia nini nchi hii zaidi ya kuifanya kuwa fukara?
 
Jimbo langu limeongozwa na CCM miaka nenda rudi ila umaskini ndiyo unaongezeka..tunamchagua kisa chama ila si kua anaweza .
Tulikua na Chuo Kimoja leo vipo 50 ila ujinga unaongezeka zaidi sauti ya Askofu Bagonza
 
Kwa Sasa tunahitaji Mbunge Msomi wa kutuletea maendeleo jimboni. Vurugu, maandamano na kufokafoka si maendeleo.

Kila la heri watia nia.
Magufuli ni rais pekee ambaye licha ya Ukristu wake amefanikiwa kutengeneza urasimu serikalini kwa kuanzisha Tume pamoja sekta pendwa ya kujenga Tarura na kutengeneza ajira rukuki..





Uko mbele hata uwe na mawazo gani ya Job Creation andika tuu ukiona vipi tuma kwa makamu wa Rais kwa sababu huwezi kumfundisha mkristo kutengeneza kazi kwa sababu mtu akifa wanamuweka kwenye Jeneza..



Thamani ya mtu aliyekufa walikuwa hawaijui ni sawa na mchele, maharage, mihongo n.k ipo siku tutatengeneza jeneza lake aka kupack n.k



Pamoja na jeneza kuwekewa mauwa hizi ndiyo faida za mtu kufa:



1. Hupumui

2. Hufikirii hata ban/spam//Job Creation

3. Huendi kazini yaani kutembea

4. Hakuna ndoto maana watoto wanandoto

5. Hakuna kutafsiri ubaguzi

7. Hakuna kusafiri wala kuhudumia gari

8. Hupambanii sifa au uongozi

9. Huna interest

10. Hausomi Gazette, Vitabu n.k

11. Huna gharama za kodi ya nyumba, safari, nguo, kitanda, video au kingamuzi n.k



Kazi ya wakristu moja tu Jeneza na kupambania ideology yangu kwa sababu ya utakatifu tifu..



Hata hivyo zitakuwa mbinu za kupatia wanawake maana wstu kutokuwa na ajira fursa mwanamke leta K kazi fasta..



Kwa hisani ya watu wa marekani

HATA VIPI HATUJI KUWA PAMOJA

 
Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?
Mkuu huku Kyela PhD holder amekua Mbunge miaka mingi sana ila maendeleo amna. Vp unataka kwenda kujifunza kusoma na kuandika kwa hao wasomi?
 
Swali Ni kuwa Sugu ameleta maendeleo gani?

Jamaa amekuuliza swali la msingi lakini umempuuza. Kabla ya Sugu, wasomi walifanya nini?? Lakini kwa kuwa humtaki Sugu - ndiye uliyeamua kumuongelea. Umekosa kuelewa mantiki yake - tatizo la watu wenye mtazamo mdogo wa mambo.

Maendeleo ni endelevu (sio jambo la mara moja). Ulitaka Sugu awe ameleta maendeleo kutatua changamoto zote toka 1961???? Wakati unahojo Sugu, umewaacha mbali JKN, AHM, BWM, JMK!!

Tambua hili, mbunge hawezi kukuletea maendeleo. Maendeleo huletwa na uwekezaji, ujuzi na zaidi sana fedha! Aliye na fedha ni Serikali - Executive. Husikilizaji bajeti zao na kutambua sio za mbunge Sugu??
 
Usomi haujawahi kuwa chanzo cha maendeleo majimboni. Dr. Mwakyembe, Dr. Kafumu, Prof. Maghembe, Dr. Mwigulu, Dr. Mollel, Prof. Majimarefu, Dr. Slaa, Dr. Kabouru na wengine wengi. Je majimbo hayo ni vielelezo vya elimu za wabunge wao??

Mleta mada bado hujajua kuwa elimu inakupa ufahamu tu - haikupi pesa, utashi, utendaji kazi, bidii, utii, hamu nk!! Na bahati mbaya katika nchi hii - unawakilisha kundi kubwa sana la watu.
 
Back
Top Bottom