Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 143,138
- 288,731
Kwenye hii mikutano ya hadhara inayopigwa na Chadema kanda ya Nyasa, kuna mambo mengi sana ya kusisimua yanatokea lakini huwa hayaripotiwi, kuanzia sasa tutajitahidi kuwaleteeni kila kitu ili kutoa picha halisi ya kinachoendelea.
Kwenye Mkutano wa Hadhara uliopigwa Mbeya Mjini kuna jambo limefanyika na kuleta hisia kali sana miongoni mwa maelfu waliohudhuria Mkutano huo mkubwa.
Mama Mzazi wa Komandoo Adamoo, Mmoja wa Makomandoo waliobambikiwa kesi ya Ugaidi wa uongo pamoja na Mbowe, bila kujali umri wake mkubwa na mvua kubwa iliyonyesha, amejitokeza kwenye mkutano huo na KUMKABIDHI MBOWE ZAWADI MAALUM, jambo hili limeshangaza wengi sana.