Uchaguzi 2020 Mbeya mjini 2020: Tulia marathon vs Wajelajela

Kuendelea ni vgm sana
Sana tu. Inaweezekana tuna mpaka watu kutoka China, Rwanda, Malaisia, Burundi, Kenya na kwingineko. Kibaya zaidi inawezekana wapo kwenye nafasi za juu sana katika Serikali na majeshi.

Kuna haja ya kufanya survey ya kutosa ya Asili na uraia wa watu kabla ya kukabiziana majukumu ya kitaifa.

NA HUU NDIO UZALENDO
 
hivi nyie mko wapi
hivi huu utawala mnadhani RAIA ndo wanachagua wawakilishi Aminini nawaambieni so Mbeya so Arusha so Karatu hats Hai uchaguzi ukiwepo CCM ndo watatawazwa nyie endeleeni na ramli zenu maana hamjui kilichoisibu Tanganyika
Tutapima nguvu ya upepo kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa.
 
Tulia anagombea Rungwe sio mbeya mjini ,,,nipo huku nashuhudia mengi

Sauli anampisha Tulia
Na hii ni habari mbaya kwa kasesera ambaye anapiga jalamba kumrithi sauli
 
hivi nyie mko wapi
hivi huu utawala mnadhani RAIA ndo wanachagua wawakilishi Aminini nawaambieni so Mbeya so Arusha so Karatu hats Hai uchaguzi ukiwepo CCM ndo watatawazwa nyie endeleeni na ramli zenu maana hamjui kilichoisibu Tanganyika
Huu ndio ukweli. Inauma lakini ndiyo ukweli. Suluhisho tufanyeje?
 
Sikubaliani na hoja hii nachoamini wanambeya hawawezi mpigia tulia kura kwani hawajazoea kuamliwa na mala zote wameonyesha hilo kuhusu kumpigia kura mnyakyusa walimpigia mwaiseje kura Kwa sababu tu alikuwa upinzani rejea nyuma toka uchaguzi wabkwanza jumbo hili lilichukuliwa na wapinzani historian itakuambia mbeya kizazi cha mabadiliko kitambo tuuu na huyu sugu ukumbuke alimshinda msafwa hapo ugundue
 
Tulia hawezi kushinda hata kwa dawa. Mimi ni mwana CCM ila siwezi kumpa Tulia kura yangu.

Dawa yake ili ashinde lazima atumie polisi. Ingawa vijana wa Mbeya tuko imara. Sisi sio wajinga j8nga wala legelege
 
Tulia akigombea Mbeya mjini itakuwa ni kujutakia kudharirika.
Itakuwa kama ya Batrida Buriani kule Arusha alivyogalagazwa na Rema hadi akatoa machozi na kilio cha aibu, sasa huyu Tulia akilia sijui itakuwaje.
 
Naona kampeni zimeanza mapema!time will tell! kusubiria huo mnyukano maana mjelajela si mtu wa mchezo.
 
Tulia anagombea Rungwe sio mbeya mjini ,,,nipo huku nashuhudia mengi

Sauli anampisha Tulia
Na hii ni habari mbaya kwa kasesera ambaye anapiga jalamba kumrithi sauli
Swadakta! Wewe wazijua siasa za Wilaya ya Rungwe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…