Chiwaso
JF-Expert Member
- Oct 21, 2009
- 5,726
- 3,778
Uzuri hiyo itakuwa 2020. Polisi watakuwa wametawanyika, na wananchi watakuwa wengi kulikompolisi kwenye majimbo husika ya uchaguzi. utasikilizia mziki wake.Kitu pekee kitakachoweza kumpa ushindi tulia kwa jimbo la mbeya mjini ni jeshi la polisi kuingilia mchakato wa uchaguzi kama walivyofanya kinondoni