LGE2024 Mbeya: Mkurugenzi adaiwa kusitisha Uchaguzi eneo la Ubaruku bila taarifa yoyote

LGE2024 Mbeya: Mkurugenzi adaiwa kusitisha Uchaguzi eneo la Ubaruku bila taarifa yoyote

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Mindyou

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2024
Posts
1,869
Reaction score
4,877
Wakuu,

Sarakasi za Uchaguzi wa Serikali Za Mitaa zinaendelea huko Mbeya mambo yameanza kuchanganya!

Zoezi la upigaji kura katika kata ya Ubaruku limesitishwa kwa maelezo kutoka kwa Mkurugenzi. Hadi kufikia saa tatu asubuhi, hakuna taarifa rasmi au maelezo ya kina yaliyotolewa kuhusu sababu ya kusitishwa kwa zoezi hilo.

mbey.png



 
Back
Top Bottom