Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Mara nyingi watu wenye maamuzi ya namna hii huwa wanatumia bangi .....

Nimefanya uchunguzi mkubwa nikajuaga hii kitu bangi ukitachanganya hasira unaweza fanya mambo ya ajabu sana

THC ni chemical mbaya sana isipo tumiwa kwa umakini maana huleta hallucination na maamuzi ya m hovyo hapo majirani ukiwauliza vizuri watakwaambia alikuwa anatumia hicho kitu ...bangi ukichanga na pombe ndo kabisa unaweza muua hata mamako
 
Hawa jamaa wa Mbeya bwana, kila kitu kibaya kinatoka kwao...kuanzia kuchunana ngozi miaka ya 90 huko.
Njombe na mbeya burudani sana hakupoi.

Kuna yule RC wa njombe huwa namuhurumia sana maana haipiti wiki bila kukutana na tukio la mauaji haswa haswa sababu ni mapenzi.

Hawa raia sijui huwa wananyweshwa nini maana suala la kujitoa uhai ni kama kwenda sokoni......
 
Hapana wanaoongoza ni wa kanda ya ziwa
 
Yule ndugu yako mnafanana avatar anaitwa nani?
 
Vitu vinavoongoza kusingiziwa uhalifu Ni pombe, bangi, matatizo ya akili na mashoga [emoji3061][emoji3061]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…