Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mara nyingi watu wenye maamuzi ya namna hii huwa wanatumia bangi .....Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Sasa huo upumbavu ndio unahalalisha kuua, nanyi mkifanya upumbavu wenu mnatakiwa muuliwe siyo, au upumbavu wenu ndio unastahili kuvumiliwaWakiambiwa waache hawasikii,ona sasaa keshachinjwaa.
Kuna upumbavu mwanaume hawezi uvumilia kamwe japo hicho kiungo sio chake.
tena saana wana midomo na kauli nyundo unaitaji roho ya chuma kweri kweli, anaweza kukwambia unanisaidia nini mwanaume gani wewe? Aisee ni nomaSilaha kuu ya mwanamke ni mdomo, unatakiwa kuwa na hekima ili uweze kuvumilia maneno makali kutoka kwa mkeo. Kinyume chake unaishia kufanya mambo ya ajabu.
Kila kitu kibaya? Tafiti za mghahawani hiziHawa jamaa wa Mbeya bwana, kila kitu kibaya kinatoka kwao...kuanzia kuchunana ngozi miaka ya 90 huko.
Njombe na mbeya burudani sana hakupoi.Hawa jamaa wa Mbeya bwana, kila kitu kibaya kinatoka kwao...kuanzia kuchunana ngozi miaka ya 90 huko.
Mboga ya majani? Anenepe!Namuonea huruma anaenda kuhesabiwa daily, atakula ugali maharage na mboja za majani mpaka aseme up!
Hapana wanaoongoza ni wa kanda ya ziwaKuna kipindi Rfa kilikua kinaitwa Matukio, kilikua asubuhimida ya saa 1. 70% ya matukio yaliyokua yanalipotiwa yalikua yanatoka mbeya. Uchawi, ujambazi, Kuchuna ngozi, mauaji, wizi, nk nk. Matapeli wote wa kidini 60%wanatoka mbeya.
Hawa jamaa kwenye uhalifu wanaongoza aisee...
sheitwani yupo bro! kama huna Mungu, una shetani. haikwepeki!Hasira hasara!
Kwanini umuue?
Mwache aende au ondoka wewe!
Hatari. Muhimu kujizuiasheitwani yupo bro! kama huna Mungu, una shetani. haikwepeki!
Kanda ya ziwa naona wanawafuata nyendo zenu. Mmepata competition. Mpo vizuriHapana wanaoongoza ni wa kanda ya ziwa
Yule ndugu yako mnafanana avatar anaitwa nani?ukimwacha atatamba mwisho utajinyonga wewe ujanja kuwahi wanaumeeee kama demu kala vyakoo tembeza beto ikiwezekana vunja miguu vita ni vita muraaa ukimwacha atakutambia mwisho ujinyonge, huduma unampa, muda wako kaupoteza, unyumba hupati, mwisho unamkuta na njemba unauliza anagoma wee tembezaa betoo
NA WATU WOTENDOA NA IHESHIMIWE
Vitu vinavoongoza kusingiziwa uhalifu Ni pombe, bangi, matatizo ya akili na mashoga [emoji3061][emoji3061]Mara nyingi watu wenye maamuzi ya namna hii huwa wanatumia bangi .....
Nimefanya uchunguzi mkubwa nikajuaga hii kitu bangi ukitachanganya hasira unaweza fanya mambo ya ajabu sana
THC ni chemical mbaya sana isipo tumiwa kwa umakini maana huleta hallucination na maamuzi ya m hovyo hapo majirani ukiwauliza vizuri watakwaambia alikuwa anatumia hicho kitu ...bangi ukichanga na pombe ndo kabisa unaweza muua hata mamako