Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Hasira hasara!

Kwanini umuue?

Mwache aende au ondoka wewe!
kaka kuna kiwango cha hasira kikifika,"unakuwa kichaa kabisa usimlaumu",,,,,m2 anakuwa kichaa pale anapokuwa na hasira kali ama furaha kubwa ilopitiliza.....ndo manake unaonaga kuna watu wanakufa pale timu zao zinaposhinda,,au wanazimia,wengine wanavua mpaka nguo na kubaki uchi wa mnyama,,
 
Hasira hasara!

Kwanini umuue?

Mwache aende au ondoka wewe!
Uchangiaji huu ndio uchangiaji wa wengi,lkn watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukiwa na mwenzi wako na hamuelewani,swala la kuua sio kitu cha kupanga,ni tukio la ghafla ambapo mtu anapandisha jazba,na hasira ndio inayomsukuma aue,ndio maana baada ya yale mauaji mtu huanza kujuta na hata kujilaumu,hii pia imesababisha hata hukumu za hizi kesi kuchuchukua muda mrefu na hata adhabu hua zinatofautiana....
 
Leo nimechagua kusoma comments tu
 
Ni kujiendekeza tu!

Yaani

uchukue panga,

utafute shingo ilipo,

ukague koromeo, then

Unyanyue panga ulengeshe kwenye koromeo

Unakata mshipa wa kwanza, damu inaruka

Mwenzako anapiga kelele na pia labda majirani nao wanapiga ukunga

Halafu bado unaendelea tu, huku ukijua kabisa hata mnyama ama kuku hachinjwi kikatili hivyo, bali kistaarabu.

Hapana! Sikubaliani na wewe.

Nimewahi kuwa na mwanamke mauza uza, lakini sikuwaza kumfanyia ufedhuli wa aina yeyote, na wala sikuwahi kumtukana, nilimuacha na alilia sana, ila nikamwambia basi imetosha sitaki.
 
Mkuu umehitimisha sana kwenye hili lkn kiuhalisia mambo yako tofauti sana na unavyohitismisha mkubwa
 
Kujiendekeza tu kwani mapenzi yameanza leo?
 
Umenena vyema, Mtumishi!
 
Mweza akizingua mwache aende kwa amani...

Haya matukio yanaongezeka mnoo.

Inaleta machozi
 
Bila picha ni uzushi
Depal
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…