hizo mikoa 3 weka mbali ni hatariArusha, Geita na Njombe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizo mikoa 3 weka mbali ni hatariArusha, Geita na Njombe
Utatmba wapi?safi kabisa
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
hahahahaUtatmba wapi?
Wakati K unatakiwa ulale nayo daily. Isiwe ya kutafuta
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]safi kabisa
KATAA NDOA
NDOA NI UTAPELI
Lakini wewe haukuongelea matapeli wa kidini tuMatapeli wa kidini asilimia kubwa wanatoka huko au unabisha na hilo
NAKAZIAkataa ndoa
kaka kuna kiwango cha hasira kikifika,"unakuwa kichaa kabisa usimlaumu",,,,,m2 anakuwa kichaa pale anapokuwa na hasira kali ama furaha kubwa ilopitiliza.....ndo manake unaonaga kuna watu wanakufa pale timu zao zinaposhinda,,au wanazimia,wengine wanavua mpaka nguo na kubaki uchi wa mnyama,,Hasira hasara!
Kwanini umuue?
Mwache aende au ondoka wewe!
Uchangiaji huu ndio uchangiaji wa wengi,lkn watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukiwa na mwenzi wako na hamuelewani,swala la kuua sio kitu cha kupanga,ni tukio la ghafla ambapo mtu anapandisha jazba,na hasira ndio inayomsukuma aue,ndio maana baada ya yale mauaji mtu huanza kujuta na hata kujilaumu,hii pia imesababisha hata hukumu za hizi kesi kuchuchukua muda mrefu na hata adhabu hua zinatofautiana....Hasira hasara!
Kwanini umuue?
Mwache aende au ondoka wewe!
Uchawi, ujambazi, wizi, utapeli wakidini, mauaji mnaongoza. Labda kama mmepunguz mauaji kwa sasaLakini wewe haukuongelea matapeli wa kidini tu
Ni kujiendekeza tu!Uchangiaji huu ndio uchangiaji wa wengi,lkn watu wanachoshindwa kuelewa ni kuwa ukiwa na mwenzi wako na hamuelewani,swala la kuua sio kitu cha kupanga,ni tukio la ghafla ambapo mtu anapandisha jazba,na hasira ndio inayomsukuma aue,ndio maana baada ya yale mauaji mtu huanza kujuta na hata kujilaumu,hii pia imesababisha hata hukumu za hizi kesi kuchuchukua muda mrefu na hata adhabu hua zinatofautiana....
Mkuu umehitimisha sana kwenye hili lkn kiuhalisia mambo yako tofauti sana na unavyohitismisha mkubwaWatu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Kujiendekeza tu kwani mapenzi yameanza leo?kaka kuna kiwango cha hasira kikifika,"unakuwa kichaa kabisa usimlaumu",,,,,m2 anakuwa kichaa pale anapokuwa na hasira kali ama furaha kubwa ilopitiliza.....ndo manake unaonaga kuna watu wanakufa pale timu zao zinaposhinda,,au wanazimia,wengine wanavua mpaka nguo na kubaki uchi wa mnyama,,
Umenena vyema, Mtumishi!Watu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Mweza akizingua mwache aende kwa amani...Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Bila picha ni uzushiSimanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.