Mbeya: Mume amuua mkewe kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na kiwiliwili

Sasa huo upumbavu ndio unahalalisha kuua, nanyi mkifanya upumbavu wenu mnatakiwa muuliwe siyo, au upumbavu wenu ndio unastahili kuvumiliwa
Hapa hatupo kulinganisha, bali wengi wapee
 
Unamlaumu marehemu bila kujua chanzo Cha kuchinjwa?🚮🚮
Utakuwa naugonjwa wa akili
Wahi mirembe haraka usije nawe ukaanza kuua walio karibu yako🙏
Na ww unamuhukumu usiyemuona. Tukutane mirembe chap usijeanza kuua raia huko
 
Mwanaume Yuko wapi baada ya kuchinja Mke wake?
 
Mi nadhani ukichaa unachangia pia mkuu
 
Simshangai huyo jamaa wanawake wana kera sana unakuta mtu asubuhi hujatoka kitandani mashtaka kama upo mahakamani kwanini mtu usichukue maamuzi magumu japo mimi binafsi siwezi kumuua mtu.
 
Hiyo mipumbavu ingekua inanyongwa hadharani mchana kweupeeee, vichwa vyao vinaning'inizwa kwenye kuta za magereza, ingesaidia pakubwa.
Huna akili watu wanachomwa moto mtaani nawizi haujawai kuisha hapa chamsingi muache dharau kama umemchoka jikatae sio wote wavumilivu
 
Kwapamoja tuikatae ndoa, ndoa niutapeli, ndoa nikifo
 
Wakiambiwa waache hawasikii,ona sasaa keshachinjwaa.
Kuna upumbavu mwanaume hawezi uvumilia kamwe japo hicho kiungo sio chake.
Ndo umuue mtu,kama mzazi wake kamshindwa kumpa maadili we ndo utaweza uzeeni.
Faida ipi hapo wakati anaenda kula maisha jela
 
Pia wanaongoza kwa idadi ya makanisa huko kwao. Unalala, unaamka unakuwa Askofu. Mama anakuwa mchungaji na watoto wanahubiri na nyumba yenu ndo inakuwa sehemu ya kwanza ya kuabudu. Mengine yatakuja baadae.
 
Namuonea huruma anaenda kuhesabiwa daily, atakula ugali maharage na mboga za majani mpaka aseme up!
ugali maharage wapi sikuiz wameongeza wali maharage asubuh chai chapati jela kutamu bwana ila hakikisha una fani sio unaenda kufungwa hata fani huna utajuta wanaumeeee ukioa msisahau kumiliki bastola akizingua shutii kwenye mbususu
 
Mi nadhani ukichaa unachangia pia mkuu
Ukichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.
 
Ni nusu Mnyama huyo aisee....anakuwa haelewi kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…