Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hatupo kulinganisha, bali wengi wapeeSasa huo upumbavu ndio unahalalisha kuua, nanyi mkifanya upumbavu wenu mnatakiwa muuliwe siyo, au upumbavu wenu ndio unastahili kuvumiliwa
Na ww unamuhukumu usiyemuona. Tukutane mirembe chap usijeanza kuua raia hukoUnamlaumu marehemu bila kujua chanzo Cha kuchinjwa?🚮🚮
Utakuwa naugonjwa wa akili
Wahi mirembe haraka usije nawe ukaanza kuua walio karibu yako🙏
Ndio maana nakuambia haujafanya researchUchawi, ujambazi, wizi, utapeli wakidini, mauaji mnaongoza. Labda kama mmepunguz mauaji kwa sasa
Mwanaume Yuko wapi baada ya kuchinja Mke wake?Simanzi na vilio vimetawala kwa wakazi wa kitongoji cha Masista kijiji cha Lusese Kata ya Igurusi baada ya Omben Kilawa mkazi wa kijiji hicho wilaya ya Mbarali mkoani Mbeya kumuua mke wake Happness Mwinuka kwa kumchinja na kutenganisha kichwa na Kiwiliwili.
Tukio hilo limetokea majira ya saa 7.00 usiku wa kuamkia leo Machi 13, 2024 ambapo jirani amesema alisikia kelele kama watu wanagombana lakini baada ya nusu saa kukawa kimya na kuamua kupiga yowe ndipo watu walipojitokeza na polisi kufika wamelibomoa mlango wa chumbani kwao na baada ya kuingia Kilawa alikuwa ameshatekeleza mauaji kwa kumchinja mke wake na kwa kutenganisha kichwa na kiwiliwili.
Mi nadhani ukichaa unachangia pia mkuuWatu hua wanadharau wasomi na Elimu, lakini kuna uhusiano mkubwa sana kati ya matukio ya ajabu ajabu na Elimu ndogo. Ni nadra sana, narudia tena ni nadra sana kwa wasomi wa Elimu angalau ya Chuo kusikia wanafanya matukio ya namna hii. Lakini pia kuna uhusiano mkubwa sana kati ya hali duni ya kimaisha na matukio ya ajabu ajabu. Sijawahi kusikia mtu mwenye ukwasi anaanguka majini, kupandisha mashetani ama anaenda kushinda kwa Mwamposa ili aombewe apate rizki bila kufanya kazi. Umaskini, ufukara, hali duni za kimaisha, kipato duni na kukosa elimu hivi vitu vinaleta msongo wa mawazo (stress) na kupelekea watu kufanya matukio ya ajabu ajabu kama haya. Katika hali ya kawaida huwezi kua unafikiria kuua ua ama kuuana uana tu kama ndo solution ya matatizo yako na mwenzako
Huna akili watu wanachomwa moto mtaani nawizi haujawai kuisha hapa chamsingi muache dharau kama umemchoka jikatae sio wote wavumilivuHiyo mipumbavu ingekua inanyongwa hadharani mchana kweupeeee, vichwa vyao vinaning'inizwa kwenye kuta za magereza, ingesaidia pakubwa.
Ndo umuue mtu,kama mzazi wake kamshindwa kumpa maadili we ndo utaweza uzeeni.Wakiambiwa waache hawasikii,ona sasaa keshachinjwaa.
Kuna upumbavu mwanaume hawezi uvumilia kamwe japo hicho kiungo sio chake.
Usiue achaneniSimshangai huyo jamaa wanawake wana kera sana unakuta mtu asubuhi hujatoka kitandani mashtaka kama upo mahakamani kwanini mtu usichukue maamuzi magumu japo mimi binafsi siwezi kumuua mtu.
Pia wanaongoza kwa idadi ya makanisa huko kwao. Unalala, unaamka unakuwa Askofu. Mama anakuwa mchungaji na watoto wanahubiri na nyumba yenu ndo inakuwa sehemu ya kwanza ya kuabudu. Mengine yatakuja baadae.Kuna kipindi Rfa kilikua kinaitwa Matukio, kilikua asubuhimida ya saa 1. 70% ya matukio yaliyokua yanalipotiwa yalikua yanatoka mbeya. Uchawi, ujambazi, Kuchuna ngozi, mauaji, wizi, nk nk. Matapeli wote wa kidini 60%wanatoka mbeya.
Hawa jamaa kwenye uhalifu wanaongoza aisee...
ugali maharage wapi sikuiz wameongeza wali maharage asubuh chai chapati jela kutamu bwana ila hakikisha una fani sio unaenda kufungwa hata fani huna utajuta wanaumeeee ukioa msisahau kumiliki bastola akizingua shutii kwenye mbususuNamuonea huruma anaenda kuhesabiwa daily, atakula ugali maharage na mboga za majani mpaka aseme up!
Ukichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.Mi nadhani ukichaa unachangia pia mkuu
Ni nusu Mnyama huyo aisee....anakuwa haelewi kituUkichaa unaletwa na stress za umaskini na hali duni ya kimaisha mbaya zaidi Elimu nayo iwe ndogo. Kama umesoma soma kidogo ile level ya humanity na civilization inakua juu, at least unaweza kutafakari kabla ya kutenda japo usomi sio kinga lakini angalau Elimu ni msaada mkubwa sana kwenye kuongeza ustaarabu kwenye maisha yetu ya kila siku na ukiongeza na hofu ya Mungu hapo mambo yanaenda sawa kabsa. Umewahi kujiuliza mtu akose Elimu, then awe na maisha duni halafu hana hofu ya Mungu. Hatari na nusu mzee.