Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kula K-VANT hapo kwa mangi nakuja kulipa!!!Na waliouza Bandari watasakwa lini ndugu kamanda?
Mnatumia Nguvu kubwa sana kumuua Nzi aliyetua kwenye Wali wakati unamuacha Fisi anakula Kondoo zizini.
ahahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!,,,kudadadadeq,mimi ntauza pumbu za mbuzi wte tanzania!!huyu ndo mwanaume sasa shenzii sanaaa..angeuzaaa wilaya nzimaa
DahMkuu wa mkoa wa Mbeya, Juma Homera, ameliagiza Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama mkoani humo kumsaka na kumtia nguvuni, Andrea Ngomeni, mkazi wa Kijiji cha Kambikatoto wilayani Chunya kwa tuhuma za kuuza eneo la pori la akiba la hifadhi ya msitu wa asili Rungwa.
Homera ametoa agizo hilo akiwa na kamati ya ulinzi na usalama ya mkoa wa Mbeya baada ya kufika katika hifadhi na pori la Rungwa Two na kukuta sehemu ya hifadhi imefyekwa kwa ajili ya kilimo na mifugo na kujulishwa kuwa eneo hilo limeuzwa kwa wafugaji kutoka wilaya ya Igunga mkoani Tabora.
"Nawaagiza polisi kwa kushirikiana na vyombo vingine vya ulinzi na usalama kumsaka huyu bwana Andrea akamatwe ili hatua zichukuliwe, maana haiwezekani watu wanajifanyia wanavyotaka," amesema RC Homera
Bora YY kamuwahi KIZIMKAZI. Kwakua bandari kaunza pekeyake.mm mwenyewe wakikaa vibaya nauza magogoni
Toa ujinga wako hapaNa waliouza Bandari watasakwa lini ndugu kamanda?
Mnatumia Nguvu kubwa sana kumuua Nzi aliyetua kwenye Wali wakati unamuacha Fisi anakula Kondoo zizini.
wewe nenda kajadili masuala ya ushirikina ndio unayawezea...Toa ujinga wako hapa