Mbeya: Mwanachi ambana maswali magumu Polisi, "unataka tuishi kwa haki lakini haki iko wapi? Sikia majibu ya Polisi sasa!

Mbeya: Mwanachi ambana maswali magumu Polisi, "unataka tuishi kwa haki lakini haki iko wapi? Sikia majibu ya Polisi sasa!

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Moja ya mwananchi kutoka Rungwe mkoa wa Mbeya katika mkutano wa wananchi alipata kuuliza maswali kwa moja ya Askari polisi aliyekuwepo hapo

Na moja ya hoja zake nikutaka kupata majibu wanahimiza kuishi kwa haki na kufuta misingi ya nchi lakini mbona haki hakuna.

 
Huyo mwananchi mbona kama nae ndo wale wale wakuu
 
Back
Top Bottom