Noma sanaHizo ndio hospital za government wanaharaka kinoma noma, wakute kwenye stitching ndio utajua kuna changamoto kwenye huduma hasa government
Imagine mtoto ameiba maandazi manne wanataka kumuuaWalimu vilaza sana.
Wakishughulikiwa wanabung'aa na kutaharuki.
Hapa ndio huwa tunapishana na nyieHayo maandazi manne unayaona machache lakini ingekuwa kayaiba uraiani wenda yangesababisha kifo chake.
Na huyo kijana anavyo onekana amesha kuwa sugu huu ujasiri wa kuvunja dirisha ili atoroke ni wa hali ya juu sana.
Waonezi tu haoMtoto kuiba chakula si ana njaa jamani
Na hiyo bandeji hospital za serikal [emoji2301]
Yaan kawekewa bandeji kisiranWaonezi tu hao
Ukute majitu ya hivyo hata wao ni majizi tu tena zaidi...
KabisaKwanza kabisa je nikweli kwamba ameiba? Kama kaiba hayo maandazi kaibia wapi? Niyanani? Alipoambiwa kaiba alijibuje...
AsanteHata panya road walianzia kwny maandazi
Hayo majeraha kayapata kwa kuvunja kioo na kujaribu kutoroka chumban alikofungiwa kupita dirishani...
Hayo majeraha ni ya kuruka dirishani baada ya kuona mboko zimekua heavy.Kijana Laurence Nicholaus Mwangake mwanafunzi wa kidato cha nne katika Shule ya Sekondari Rohila iliyopo Mbalizi Mkoani...
Shida suo mandazi,hapo ni suala la nidhamKusema ukweli baadhi ya walimu nchi hii wanaendekeza sana dhiki na kufanya kada ya ualimu iendelee kudharaurika kwa roho zao za kimaskini, maandazi ndo yakumjeruhi mwanafunzi kweli..??! ...
Duh aiseee yote hayo kisa maandazi manne
Muuguzi wa Hospitali aeleza
Mmoja wa wauguzi wa kike ambaye amempokea mgonjwa huyo amesema “Aliletwa hapa akiwa hayupo vizuri kiafya, ana majeraha yanayoonekaa ni ya kupigwa eneo la uso, mguuni na mikononi.
Kuna mmoja wao amewezeshwaTamko la mganga mkuu
Akizelezea hali ya mgonjwa, Mganga Mkuu wa Hospitali ya Ifisi, Dkt. Hamis Bakari Ally anasema: “Mgonjwa anaendelea vizuri, hali yake ni vizuri kiasi, ana maumivu ya mguu kwenye goti, ameeleza aliumia wakati anaruka kutoka kwenye chumba alichofungiwa, hali ya kichwa ipo sawa, hakuna mvunjiko wowote.
“Hivyo majeraha mengine aliyonayo yalitokea wakati aliporuka kutoka kupitia dirishani wakati akijaribu kutoka kwenye chumba alichofungiwa.
Mbeya hiyoHata mwezi haujaishi wamerudia tena uhuni wa kujeruhi wanafunzi.
Ni kama kilemba atiHivi hospital za Tanzania hawawezi kufunga majeraha vizuri kwa upendo? Ona hilo li gozi sijui pamba hapo kichwani... it's terrible
Muuzaji alikuwa wapi?Baada ya kupata taarifa kuwa mwanafunzi huyo amelazwa inadaiwa Walimu wakageuza kibao na kudai mwanafunzi ameumia wakati akiruka dirishani baada ya tukio la wizi wa maandazi.
Bora huyo aliiba maandazi, miaka ya nyuma tukiwa shule mwenzetu mmoja alivunja duka la shule akaiba sigaraChanzo kutoka shuleni kinaeleza kuwa licha ya kinachoendelea, shule imegeuza kibao na kumtaka baba wa mwanafunzi huyo alipe gharama za kioo cha dirisha ambacho wanadai mwanafunzi alikivunja wakati akitoroka baada ya kuiba maandazi.