DOKEZO Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

DOKEZO Mbeya: Mwanafunzi alazwa baada ya kupata kipigo kutoka kwa Walimu wa Shule ya Sekondari Rohila, inadaiwa alidokoa maandazi manne

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Walimu wana stress sana, sasa maandazi 4 ndo wampe majeraha hivyo huyo mwanafunzi, khaaaah.
 
Hakuna kesi hapo, chuki yako ni kubwa sana
Sio lazima iwe kesi mnaonyesha mlivo makatili na hamna huruma,ndio maana wenye akili wanatuita Nyani sisi.... maandazi??? less than one cent Dollar unataka kuuwa mtoto wa mwenzio?? Mijitu ya msituni hii.
 
Na hapo ashukuru mungu tu ameyaiba kwenye duka la shule angekuwa kayaiba uraiani sasa hivi wazazi wangekuwa wana andaa ratiba ya mazishi.
Unapambana kutetea mwalimu,unamtoto wewe?? Eti kaiba,Huna wazo la kufikilia ana njaa ukampa mengie ili ale.
 
Walimu waachane na adhabu kwa wanafunzi. Kama jamii yenyewe inaona ni ukatili kuadhibu wanafunzi kwa nini walimu waendelee kuadhibu? Shule imezungukwa na nyasi wanafunzi wakasafishe kama adhabu. Kuna kutoa maswali ya kwenye mazoezi yao ya kujifunza wapewe adhabu hizo. Na kama mwanafunzi ameshindikana mzazi wake atavuna alichomlea mtoto wake
 
Majeraha ya kioo... Sio kipigo.

Mwanafunzi alikuwa na njaa...aliiba maandazi kweli

Walimu hawana kesi
 
Back
Top Bottom