Yusufu R H Sabura
JF-Expert Member
- Jun 26, 2020
- 355
- 486
Huyo mtoto asipojirekebisha kitaa atapigwa kibiriti. Pumbav kabs
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umetumia busara sanaNilivyomuelewa daktri, kwamba, majeraha ya mwanafunzi yaliongezeka baada ya kuruka kupitia dirisha la vioo...
Sio lazima iwe kesi mnaonyesha mlivo makatili na hamna huruma,ndio maana wenye akili wanatuita Nyani sisi.... maandazi??? less than one cent Dollar unataka kuuwa mtoto wa mwenzio?? Mijitu ya msituni hii.Hakuna kesi hapo, chuki yako ni kubwa sana
Unapambana kutetea mwalimu,unamtoto wewe?? Eti kaiba,Huna wazo la kufikilia ana njaa ukampa mengie ili ale.Na hapo ashukuru mungu tu ameyaiba kwenye duka la shule angekuwa kayaiba uraiani sasa hivi wazazi wangekuwa wana andaa ratiba ya mazishi.