Mbeya: Mwanafunzi amtia Mimba Mwanafunzi mwenzake

Okay,

Ila Sheria inapaswa kubadilishwa ili Kama Mtuhumiwa wa ubakaji wa jinsia ya kiume anapotiwa hatiani, na mwanamke mhusika naye pia atiwe hatiani na kisha huyo mwanamke naye ahukumiwe angalau Nusu ya adhabu ambayo Mwanaume anahukumiwa nayo.
Mathalani, kama Mwanaume anahukumiwa kifungo cha jela miaka thelathini (30) Basi na Mwanamke naye ahukumiwe Nusu ya kifungo hicho, yaani apewe kifungo cha miaka kumi na Tano (15) gerezani. Hii itasaidia kutoa fundisho kwa wote kabisa
 
Alafu yeye mwenyewe hapo unaweza kuta ni uzao wa mimba za shuleni!!
 
Dah Mungu awanusuru watoto wetu.
 
Hilo limetokana na kufanya eksiperimenti ya baiolojia, ila kuhusu faini anayotakiwa alipe sijui ataipata wapi wakati yeye ni mwanafunzi hana ajira.
 
Kwanini mwanamke ahukumiwe nusu ya kifungo cha Mwanaume?
Mwanamke na Mwanaume wote ni wakosaji, kwanini Mwanaume aonekane ni Mkosaji zaidi?
50/50 iko wapi?
Je, Mwanamke hawezi kumtongoza Mwanaume?
, Mwanamke akimtongoza Mwanaume, wawili hawa wakakutana kimwili, Je, mwanamke hawezi kupata Mimba?
Kwanini Mwanaume aonekane anahatia zaidi?
🤔🤔🤔🤔🤔
 
Kabisa
 
Hakika
 
Alaf waislam wakioa watoto wenye umri chini ya miaka 18 waaambiwa wabakaji na wakat nature inatambua kua ameshakua mature mwanamke ,,watu tumefanyiwa brainwash na wazungu ety ukubwa sahihi unaanzia miaka 18 whats the f*k
Narejea tena hii dunia miaka 20 ijayo dunia imejaa watoto wa nje wasio na nafsi bali ni mashetani
 
Iran ndiyo wanajadili mtoto aingie ndoani akiwa na miaka 9
 
Madenti wengi hua wanapeana mimba wao kwa wao.

Sometimes inatokea binti akihisi ana mimba na kuna njemba ya mtaani kama ilikua inamsumbua sumbua binti anajileta kirahisi unakula unapewa zigo la miaka 30 ulibebe...
Ndo maana huwa nasema wanawake ni mashetani
 
Huyo wa kiume anafukuzwa shule?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…