MBEYA NAKUJA

Vipi wadada wa huko ni wa vizinga sanaaa.Vipi masuala ya kiimani watu ni wadini sana au vuguvugu wengi
 
Nasikiaga makanisa ni mengi hadi vichochoroni imekuwa kama kero
 
Mitaa gani sio salama sana yaani vibaka kila kona,wapi ni sehemu tulivu kimakazi zaidi.
 
Hiyo ya 5 imenivutia sana
 
Sijajua ni Mbeya ipi, lakini debe la mchele mzuri sasa hivi ni 35000-40000, nyama ya ng'ombe bei moja na mdudu buchani (6000 kwa kg) na chumba na sebule self contained ni mpaka 180,000 kwa mwezi kwa maeneo ya Forest Mpya, 100,000 kwa maeneo ya Block T.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…