Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ya 5 imenivutia sanaMaisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.
1.Kwasasa Bei Ya Mchele Imepanda Ndo Imefikia 25000 Kwa Debe La Kilo 20
2.Mkungu Wa Ndiz Mkubwa Ni 5000 To 6000
3.Maparachichi,karoti,vitunguu Na Viungo Viungo Ni Cheap Mfano Hakuna Yan Kifup Bwereree
4.Nyama Ya Ng'ombe Leo Ni 4600/kilo Na Mdudu Sh 5000
Niconclude Kwa Kusema Ukiwa Na 70000 Familia Ya Watu 3 Wanakula Vzur Kbs Kwa Mwez Mzma
5.Kod Ya Nyumba Chumba Na Sebule-self Ni 40000 Kwa Mwez Kwa Nyumba Bora
Karibu sana mi nipo uyole
Hatuna vizinga babu tumejitosheleza, tuna afya tele, tupo ngangari, ukizingua tunazingua. Karibu MbeyaVipi wadada wa huko ni wa vizinga sanaaa.Vipi masuala ya kiimani watu ni wadini sana au vuguvugu wengi
Sijajua ni Mbeya ipi, lakini debe la mchele mzuri sasa hivi ni 35000-40000, nyama ya ng'ombe bei moja na mdudu buchani (6000 kwa kg) na chumba na sebule self contained ni mpaka 180,000 kwa mwezi kwa maeneo ya Forest Mpya, 100,000 kwa maeneo ya Block T.Maisha Mbeya Ni Rahisi Sana Tena Sana!.