Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

Mbeya ni yetu, na sisi ndio watu wake

IMG-20210211-WA0072.jpg

Gari ya Kasyunguti
 
Ukiingia mbeya vituo vya daladala kuanzia Uyole kwenda mbalizi ni kama ifuatavo unaanza Uyole, Kilimo, Agrey, Darajani, Nanenane, Sai, Ilomba, Ccm, Mama john, Soweto, kabwe, mwanjelwa, mafyati, Magorofani, Simike, Mbembela, Nzovwe, Njia Panda, Iyunga, Tazara, Ituta, Iwambi, Makasini, Tarafani.
Umesahau Kadeghe ipo kati ya Magorofani na simike.
 
Back
Top Bottom