Song of Solomon
JF-Expert Member
- Aug 5, 2021
- 2,752
- 5,609
UTWAMBOMBO [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji16][emoji16]vilugha vya watu jamani TWAMBOMBO
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
UTWAMBOMBO [emoji2956][emoji2956][emoji2956][emoji16][emoji16]vilugha vya watu jamani TWAMBOMBO
Hahaha long time ago mkuu wanguDah! Miaka hiyo Iyunga tech na MTC mlikuwa mnajiona kama ndiyo wamiliki halali vile wa watoto wa Loleza!
Yaani kukiwa na mialiko Loleza, mlikuwa mnatusumbua sana sisi wavamizi kutoka Sangu na Meta sekondari.
Daah mkuu mitaa yetu ile imekufa kabisa kabisa, hata watu wengi wametutoka.Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.
Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
We dugu moja aiseeDaah !! Lazima nitakuwa nakujua maana hiyo ndio mitaa yangu 1980 - 2009...
Machinjioni ( nonde ), mbata, majengo ( mtaa wa kwanza ) na soko matola ndio ilikuwa mitaa yangu.
Wenzio ndio tumekulia huko sio kwa kuchagua, lkn bado tuliweza kutoboaulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
Uzee ni baraka. Siyo kila mtu atakuwa mzee.humu ndani tuna watu wazee sana. mbeya tech mwaka 1994?
Kabisa ndg yangu[emoji112]Uzee ni baraka. Siyo kila mtu atakuwa mzee.
acha ubrazamen wa kishamba na kizamani.ulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
Wewe ni janga, 94 tech ni mzee sana??humu ndani tuna watu wazee sana. mbeya tech mwaka 1994?
Around what? First born wangu ana 29 yrs now so guess how old I amWewe ni janga, 94 tech ni mzee sana??
Huyo atakuwa around 40s sasa.
Huwezi sema ni mzee sana.
Pole sana Mkuu! Daah!Daah mkuu mitaa yetu ile imekufa kabisa kabisa, hata watu wengi wametutoka.
Acha tu Mkuu!! Sijui tulikosea wapi?Umeona ilivyokuwa choka ile mbaya?
Pale kwa Kabelele!!Nonde kama nonde enzi za mzee Mwasanga
sijasema hivyo kwasababu mimi nilizaliwa mjini kama wewe, mimi nimezaliwa bush, ila nimesema ukweli kwa ninavyoifahamu Nonde. shida nini hapo? au wewe bado unaishi nonde?acha ubrazamen wa kishamba na kizamani.
samahanini kama nimesema vibaya mitaa yenu ya nonde. ilikuwa fair comment tu.Wenzio ndio tumekulia huko sio kwa kuchagua, lkn bado tuliweza kutoboa
Umekosea, wenyeji wa huko tupo wengi ,hizo tabia unazosema unatupaka matope.sijasema hivyo kwasababu mimi nilizaliwa mjini kama wewe, mimi nimezaliwa bush, ila nimesema ukweli kwa ninavyoifahamu Nonde. shida nini hapo? au wewe bado unaishi nonde?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]pole mkuuUmekosea, wenyeji wa huko tupo wengi ,hizo tabia unazosema unatupaka matope.
kwamba ni za uongo? au mnaongelea Nonde nyingine? sio ile ninayoijua.Umekosea, wenyeji wa huko tupo wengi ,hizo tabia unazosema unatupaka matope.
Mkuu kumbe we jirani unamjua fred kameta?Mimi kwetu nikitaka kufika nyumbani siwezi enda na gari maana nyumba zimejazana hakuna njia ya kuingia gari hadi nyumbani...napaki barabarani na kwa jirani😛..wapi njia panda ya halengo kuelekea kanisa la Roman Catholic ...Pastor mwakalobo😀.....parking Mbembela😎😎😎😎😎
Aisee kasanga hukwenda?[emoji28][emoji28] majengo, mabatini , mji mwema , mpaka kirando, kipili , kizi , chala , milumdikwa ect nimepita kote uko
Hadi wampembe kama unapajua [emoji28]
Nilienyoj sna maisha ya uko , ushawahi ona wapi subule + Master Kwa Tsh 50 elfu kule kuna maisha yake amazing sna