Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

Dah! Miaka hiyo Iyunga tech na MTC mlikuwa mnajiona kama ndiyo wamiliki halali vile wa watoto wa Loleza!

Yaani kukiwa na mialiko Loleza, mlikuwa mnatusumbua sana sisi wavamizi kutoka Sangu na Meta sekondari.
Hahaha long time ago mkuu wangu
 
Nilikulia na kulelewa Mbeya maeneo ya Majengo na Nonde-machinjioni. (1974-1980). Nikaondoka kwenda kusaka maisha. Nikalowea huko nilikokuwa.

Nimerudi majuzi. Daa!! Ooh! Mbeya, my dear Mbeya!
Daah mkuu mitaa yetu ile imekufa kabisa kabisa, hata watu wengi wametutoka.
 
Daah !! Lazima nitakuwa nakujua maana hiyo ndio mitaa yangu 1980 - 2009...

Machinjioni ( nonde ), mbata, majengo ( mtaa wa kwanza ) na soko matola ndio ilikuwa mitaa yangu.
We dugu moja aisee
 
ulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
Wenzio ndio tumekulia huko sio kwa kuchagua, lkn bado tuliweza kutoboa
 
ulizaliwa na kukulia eneo la wezi, wavuta bangi na wachawi. Nonde ni sehemu hatari mno ambayo serikali inatakiwa kulitwaa na kufuta nyumba zote ijenge nyumba za serikali, kwasababu pamejaa harufu ya uovu wote.
acha ubrazamen wa kishamba na kizamani.
 
Daah mkuu mitaa yetu ile imekufa kabisa kabisa, hata watu wengi wametutoka.
Pole sana Mkuu! Daah!
Yaani pameharibika kabisa.
Nikikumbuka Majengo, Ile Ghana!! daah! Tofauti kabisa!
 
acha ubrazamen wa kishamba na kizamani.
sijasema hivyo kwasababu mimi nilizaliwa mjini kama wewe, mimi nimezaliwa bush, ila nimesema ukweli kwa ninavyoifahamu Nonde. shida nini hapo? au wewe bado unaishi nonde?
 
sijasema hivyo kwasababu mimi nilizaliwa mjini kama wewe, mimi nimezaliwa bush, ila nimesema ukweli kwa ninavyoifahamu Nonde. shida nini hapo? au wewe bado unaishi nonde?
Umekosea, wenyeji wa huko tupo wengi ,hizo tabia unazosema unatupaka matope.
 
Mkuu kumbe we jirani unamjua fred kameta?
 
Aisee kasanga hukwenda?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…