Mbeya, Ooh! My dear Mbeya!

Wewe utakuwa msafwa maana unabisha ujinga malafyale ninini?
Mimi ni Mnyakyusa wa Mwakaleli. Nakijua sana Kinyakyusa kuliko unavyodhani. Kiongozi wa kimila wa Kinyakyusa akiwa na eneo lake la utawala anaitwa Malafyale na si Mwanafyale. Wasaidizi wake wanaitwa mafumu, akiwa mmoja ni ifumu.

Aidha, malafyale humaanisha mfalme (siyo chifu). Malafyale means a king, not a chief. Ukisikia Jesu jho Malafyale, maana yake Yesu ni Mfalme, siyo Yesu ni chifu!

Ukisema hivyo mbele ya tunaojijua utaitwa mjanga! Uwe mpole unapofundishwa usiyoyajua.
 
Labda kwenu mwakaleli ndy mnaita hivyo lkn the entere nyakyusya tunaita MWALAFYALE acha ubishi wa kishamba poti wangu
 
Malafyale?? The big no poti
 
Labda kwenu mwakaleli ndy mnaita hivyo lkn the entere nyakyusya tunaita MWALAFYALE acha ubishi wa kishamba poti wangu
Busara inaniambia endelea na msimamo wako huo, na nitauheshimu hata kama sikubaliani nao. Huo ndio utu. Na mbaya zaidi hujui unayejibizana naye ni nani.
 
Labda kwenu mwakaleli ndy mnaita hivyo lkn the entere nyakyusya tunaita MWALAFYALE acha ubishi wa kishamba poti wangu
Duh, entere! Haya bwana, jipe ushindi. Ila sijawahi kuona mahali popote ambapo kuelekezana na kueleweshana kwa hekima na busara ni ubishi.

Aidha, muungwana yeyote yule huwa hatukani wala kulaumu, bali hujenga hoja na kujali maoni ya wengine hata kama hakubaliani nao.
 
Nisamehe poti wangu kwa kutumia lugha isiyo ya kiungwana
 
BM TAJIRI WENU
 
Mbeya kuanzia pale Simike,Meta,Mabatini,Nzovwe,Mbembela had Iyunga pale kabla hujafika b
Break point bar, Ikuti hadi kiwanda Cha Coca-cola,nyumba zimerundikana kama nywele za kipilipili kichwani.
Kuna hizo chochoro hata kama una baiskeli lazima uiache barabaran ndo ufike kwako.
 
haina hadhi ya kuwa jiji.
 
Nonde miaka yote ipo vile vile kama Simike
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…