Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
- Thread starter
-
- #61
Mkuu haya matukio yaliyotokea mwanzoni mwa miaka ya 2000 siku hakuna hizi mambo.Hiyo ya kuchunwa ngozi nimeisikia pale Tukuyu pia hata Kyela nadhani Kuna hayo matukio
Ipo mbela ya soko la mwanjelwa, kushoto kabla ya mafyati.Mzee Iko wapi hii nipe location niitimbe Sasa hivi.
MmhMkuu haya matukio yaliyotokea mwanzoni mwa miaka ya 2000 siku hakuna hizi mambo.
Watu Wana Saka Hela tu.
Sema matajiri wa majoka wengi sana huu mji
Aisee!!
Utajiri wa majoka ndo utajiri upi mkuuMkuu haya matukio yaliyotokea mwanzoni mwa miaka ya 2000 siku hakuna hizi mambo.
Watu Wana Saka Hela tu.
Sema matajiri wa majoka wengi sana huu mji
Aisee!!
Nina mwanangu apo ni dj sema leo hajaibuka, huwa anakiwasha sana π₯Naam current location View attachment 2767934
Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi π₯π₯ aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito π€£ kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchiπ€£π₯π₯Ukitoka hapo Mbeya pazuri,nenda City Pub kisha malizia na Mwilubi unakuwa imemaliza Mbeya yote.
Mbeya ni Kijiji kikubwa kilicho changamka,wangeutenga tu kuwa Mkoa wa maombi ya walokole na sio kuita Jiji.
Mwailubi kwa wahudumu pisi kajitahidi,Ila ndio uwasubirie kutoka SAA 10Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi π₯π₯ aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito π€£ kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchiπ€£π₯π₯
To yeye anaishi Mbeya ya MakongorosiMtafute madam to yeye yupo huko Mbeya
Mwailubi kwenye suala la wahudumu katupatia, maboss wote wanapaki apo π₯ kule kwa mwamunyange pia zamani kulikua na pisi ila kwa sasa sijajua maana long time sijarudi uko. Nasoma pana vibe ila pako local sanaMwailubi kwa wahudumu pisi kajitahidi,Ila ndio uwasubirie kutoka SAA 10
Kula mambo mzeeIringa ,Mbeya sjui Njombe mie hapa aseeh sjawah vutiwa huko ila nna demu wa hko Iringa.
Mi ni kwetu kabisa ,nzovwe km unajua.I lived there in 1990s while studying at Loleza, Mbeya ni kwangu, natembelea Mbeya mara nyingi kuliko ninavyotembelea kijijini kwetu Narumo
Aisee itabidi nibadili kiwanjaIpo mbela ya soko la mwanjelwa, kushoto kabla ya mafyati.
Mbeya Pazuri pa kitoto sana ukitoa Live Band yao. Ukifika City pub ingia Lounge ipo kulia kwako, huko mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Utajiri wa KWA BABUUtajiri wa majoka ndo utajiri upi mkuu
Hii ni hatariUtajiri wa KWA BABU
Jogoo kula PUNJE[emoji1][emoji1787][emoji1787]
Kuna mangona mengi sana yanagongwa hapaNina mwanangu apo ni dj sema leo hajaibuka, huwa anakiwasha sana [emoji91]
Hapo ilikua kipindi cha Nondo toka 2016.πππ kweli kila sehemu zina vibes zake, mara ya kwanza nafika mbeya 2018. Nilibaki nastaajabu tu kwanini mbeya ni jiji, na sikuwahi ona vibe zozote. Mji ikifika saa tatu usiku unapoaa
Hahahah Iyunga na pisi Kali wapi na wapi[emoji1787][emoji1787]Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi [emoji91][emoji91] aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito [emoji1787] kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchi[emoji1787][emoji91][emoji91]
Mimi nimesomq. Pale uboyizini. Karibu na TAZARA[emoji1787]I lived there in 1990s while studying at Loleza, Mbeya ni kwangu, natembelea Mbeya mara nyingi kuliko ninavyotembelea kijijini kwetu Narumo