Mbeya Pazuri...

Mbeya Pazuri...

Hiyo ya kuchunwa ngozi nimeisikia pale Tukuyu pia hata Kyela nadhani Kuna hayo matukio
Mkuu haya matukio yaliyotokea mwanzoni mwa miaka ya 2000 siku hakuna hizi mambo.


Watu Wana Saka Hela tu.

Sema matajiri wa majoka wengi sana huu mji

Aisee!!
 
Mzee Iko wapi hii nipe location niitimbe Sasa hivi.
Ipo mbela ya soko la mwanjelwa, kushoto kabla ya mafyati.

Mbeya Pazuri pa kitoto sana ukitoa Live Band yao. Ukifika City pub ingia Lounge ipo kulia kwako, huko mambo ni 🔥🔥🔥
 
Ukitoka hapo Mbeya pazuri,nenda City Pub kisha malizia na Mwilubi unakuwa imemaliza Mbeya yote.
Mbeya ni Kijiji kikubwa kilicho changamka,wangeutenga tu kuwa Mkoa wa maombi ya walokole na sio kuita Jiji.
Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi 🔥🔥 aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito 🤣 kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchi🤣🔥🔥
 
Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi 🔥🔥 aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito 🤣 kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchi🤣🔥🔥
Mwailubi kwa wahudumu pisi kajitahidi,Ila ndio uwasubirie kutoka SAA 10
 
Mwailubi kwa wahudumu pisi kajitahidi,Ila ndio uwasubirie kutoka SAA 10
Mwailubi kwenye suala la wahudumu katupatia, maboss wote wanapaki apo 🔥 kule kwa mwamunyange pia zamani kulikua na pisi ila kwa sasa sijajua maana long time sijarudi uko. Nasoma pana vibe ila pako local sana
 
I lived there in 1990s while studying at Loleza, Mbeya ni kwangu, natembelea Mbeya mara nyingi kuliko ninavyotembelea kijijini kwetu Narumo
Mi ni kwetu kabisa ,nzovwe km unajua.
Ila watu kule hawakua watu wazuri.
Uchawi nimeona vitu vingi sana.
Ila walipomuua baba yangu.
Basi tukaondoka mazima mpk leo.
 
Ipo mbela ya soko la mwanjelwa, kushoto kabla ya mafyati.

Mbeya Pazuri pa kitoto sana ukitoa Live Band yao. Ukifika City pub ingia Lounge ipo kulia kwako, huko mambo ni [emoji91][emoji91][emoji91]
Aisee itabidi nibadili kiwanja
 
😆😆😆 kweli kila sehemu zina vibes zake, mara ya kwanza nafika mbeya 2018. Nilibaki nastaajabu tu kwanini mbeya ni jiji, na sikuwahi ona vibe zozote. Mji ikifika saa tatu usiku unapoaa
Hapo ilikua kipindi cha Nondo toka 2016.
Ukikutana na wale jamaa unapigwa Nondo unadondoka wanabeba kila kitu.
Kwahiyo watu wakaamua kujifungia saa tatu usiku.
Niko mgeni nikaleta ubishi nikatoka mida hiyo.
Walinikosakosa maana tulicheza sebene mpk wakabaki na nondo zao wanashangaa.
 
Moja ya kiwanja changu pendwa nikiwa Mbeya ni mwailubi [emoji91][emoji91] aisee kuna pisi za kwenda apo ni balaa zito [emoji1787] kuna kiwanja kingine kipo iyunga kinaitwa London, kule kuna pisi atari unajivutia tu unakula mema ya nchi[emoji1787][emoji91][emoji91]
Hahahah Iyunga na pisi Kali wapi na wapi[emoji1787][emoji1787]
 
I lived there in 1990s while studying at Loleza, Mbeya ni kwangu, natembelea Mbeya mara nyingi kuliko ninavyotembelea kijijini kwetu Narumo
Mimi nimesomq. Pale uboyizini. Karibu na TAZARA[emoji1787]

LOLOZA tulikuwa tunapaita LOZ[emoji1787][emoji1]

TUMERUKA SANA majoka na pisi za Loz(di$ko)

Fulu unyunyu.

Ila uboyizini bana unyunyu mmoja unapulizwa na mamen kama Saba hivi[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom