Friedrich Nietzsche
JF-Expert Member
- Sep 22, 2022
- 2,095
- 3,649
Naam Niko mbeya Pazuri hapa
From Tanga mjini to mbeya.
Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.
Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar
Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.
nani Yuko hapa anakula lager
Njoo mbeya mzee utalii wa ndani.I hope one day nita jaku yambe
Hilo vumbi ni hapo kati kati ya mji tu, haiwezi kuondoa maana kuwa ni greencityNimesoma mbeya sijui kwanini wanapaita green city wakati vumbi tu mwanzo mwenga[emoji1787]
Hahahaha unanitamanisha ngoja niende nikaone. Hayo maajabu[emoji1787][emoji1787]Saa 6 amia pale carnival mafiati
[emoji41]
Mzee hivi mwailubi Iko wapiMwailubi kwa wahudumu pisi kajitahidi,Ila ndio uwasubirie kutoka SAA 10
Hahahah mangorosi njia ya isanga[emoji1787][emoji1787]To yeye anaishi Mbeya ya Makongorosi
Achana na huyo ajuza kigagula.Kiwanja Siyo Kiwa ja…. unakosea kosea kama [mention]FaizaFoxy [/mention]
Green city vumbi linaluliza kikudaHilo vumbi ni hapo kati kati ya mji tu, haiwezi kuondoa maana kuwa ni greencity
Uko sahih Sana mbeya ,njombe ,iringa ,tunduma sumbawanga Ni maeneo hatarishi Sana watu hawaogopi kirusi kbsaaaMbeya huko
demu akinambia ametokea Mbeya, Njombe au Iringa
ni mwendo wa ndom nne au zaidi, hakuna foreplay wala fisting
PUNJE Saba miaka 7 unakuwa DON DADA baada ya hapo unazima moto NIAGIENI NIAGIENI[emoji445]Hii ni hatari
Watu Wana slide tu hakuna hatari[emoji1787][emoji1787]Uko sahih Sana mbeya ,njombe ,iringa ,tunduma sumbawanga Ni maeneo hatarishi Sana watu hawaogopi kirusi kbsaaa
Nipe wajihi wake YukoMleta mada nimeshachakata mpishi mmoja wa Apo jikoni mcheki Ana Kali kubwa mbo kuliko wapushi wote ibuka nae anagawa Hadi 0718
Hapana yupi UyoleTo yeye anaishi Mbeya ya Makongorosi
ngwengwe nje njeKwa nini mkuu? 😳
Hii ni hatari mkuu maana unakua umeuza nafsi kwa shetaniPUNJE Saba miaka 7 unakuwa DON DADA baada ya hapo unazima moto NIAGIENI NIAGIENI[emoji445]
Haa Pazuri Hivi Hapo Mbeya Carnival Bado Ipo IpoNaam Niko mbeya Pazuri hapa
From Tanga mjini to mbeya.
Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.
Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar
Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.
nani Yuko hapa anakula lager
😅😃I lived there in 1990s while studying at Loleza, Mbeya ni kwangu, natembelea Mbeya mara nyingi kuliko ninavyotembelea kijijini kwetu Narumo