Mbeya Pazuri...

Mbeya Pazuri...

Naam Niko mbeya Pazuri hapa

From Tanga mjini to mbeya.

Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.

Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar

Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.

nani Yuko hapa anakula lager

Kiwanja Siyo Kiwa ja…. unakosea kosea kama [mention]FaizaFoxy [/mention]
 
Mleta mada nimeshachakata mpishi mmoja wa Apo jikoni mcheki Ana Kali kubwa mbo kuliko wapushi wote ibuka nae anagawa Hadi 0718
 
Mleta mada nimeshachakata mpishi mmoja wa Apo jikoni mcheki Ana Kali kubwa mbo kuliko wapushi wote ibuka nae anagawa Hadi 0718
Nipe wajihi wake Yuko

Mweupeu/mweusi

Jina je anaitwa nani

Sasa hivi nimcheki.
 
Mademu wa mbeya hawajyi kujishebedua[emoji1787]
 
Nlkua apo sema kuna meza moja apo mwanzon kuingia karbu na ilo sanam meza nzma yamekaaa mashoga 🙌
Sema panavibe sana ktmoto yao Tam sana
 
Naam Niko mbeya Pazuri hapa

From Tanga mjini to mbeya.

Kiwa ja kina vibe misambwanda kama yote daaah.

Ukifika mbeya usisahau kutia maguu hapa mbeya Pazuri na pale Nasoma Open Bar

Mbeya Pazuri Iko SAE na Nasoma Open Bar Iko MAMA JOHN.

nani Yuko hapa anakula lager
Haa Pazuri Hivi Hapo Mbeya Carnival Bado Ipo Ipo
 
Back
Top Bottom