Mbeya;Polisi ajinyonga chumbani

Mbeya;Polisi ajinyonga chumbani

Si kweli. Polisi huwa wana kiapo kikali sana.
Utiifu na uaminifu wa hali ya juu.
Hata majeshi: "Kiapooo! kiapoooo!"
"Mimi.......... .........."
Kiapo gani wewe, hawahawa wanatengeneza kesi za kubumba na kupora mali ndio wenye kiapo kikali sana?

Hadi 'wajeda' siku hizi nao wanavunja viapo vyao sembuse hawa askari njaa ?!
 
Watu wengi wanamsongo wa mawazo na sonona ya hatari.......nashauri tuwe na utaratibu wakuwaona wanasaikolojia itasaidia
Kwa haya maisha ya sasa? Hata hao wanasaikolojia nao unaweza kuwakuta na sonona na msongo wa mawazo.
 
Depression is real.
Tatizo huku africa watu wakisikia mtu ana ugonjwa wa akili wanajua ni kichaa kumbe almost wote ni wagonjwa wa akili.
Na sababu kubwa ni umasikini.

Nadhani watu wenye mamlaka husika waangalie uwezekano wa kusambaza elimu na kuongeza madaktari wa magonjwa ya akili ili kuepuka mambo kama haya.
 
Back
Top Bottom