Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Kiapo gani wewe, hawahawa wanatengeneza kesi za kubumba na kupora mali ndio wenye kiapo kikali sana?Si kweli. Polisi huwa wana kiapo kikali sana.
Utiifu na uaminifu wa hali ya juu.
Hata majeshi: "Kiapooo! kiapoooo!"
"Mimi.......... .........."
Kwa haya maisha ya sasa? Hata hao wanasaikolojia nao unaweza kuwakuta na sonona na msongo wa mawazo.Watu wengi wanamsongo wa mawazo na sonona ya hatari.......nashauri tuwe na utaratibu wakuwaona wanasaikolojia itasaidia
hahahaaaaaaaaWanasaikolojia nao hujinyonga
Labda awe kada wa ccm.Hiki kifo chake kuna raia wa kawaida amesikitika kweli?