Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

Hata hadhi ya kuitwa mama Sasa itapotea ataitwa dictator maana hakuna mama dictator.
 
Whats wrong, mbona serikali hii imekuwa ya ajabuajabu namna hii?
Hivi mlitegemea maajabu gani kutoka CCM? Adui namba moja ni CCM ambao wametengeneza huu mfumo kandamizi
Shida kubwa huwa tunapigana na raisi aliyepo madarakani
Ccm hakuna mwenye afadhali, usije kushangaa huyu mama akawa balaa kuliko magufuli
 
Watanyooka tu. Chama cha siasa za unaharakati hakipo po pote pale duniani. Chadema wanapaswa kujifunza jinsi mfumo wa vyama vingi vinavyoendeshwa duniani. Vinginevyo wataishia magerezani kwa kesi za ugaidi na uhaini.

Kama mnaendelea kuzingua mtaendelea kuzinguliwa. Yaani kila siku kelele mnataka katiba mpya wakati mnajua katiba mpya haitengenezwi na chadema. .Sa kama si kuzingua ni kitu gani.
 
Kwa kosa gani?
 
Mama Samia, nchi inamponyoka mikononi kwa kasi.
 
Inatakiwa CHADEMA na ninyi wakamateni hao wanaowakamata kwa namna yeyote ile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…