Mbeya: Polisi wadaiwa kuwakamata wanachama wa CHADEMA zaidi ya 30

MaCCM hali mbaya yatasumbua sana, CCM imepoteza ushawashi kwa wananchi, haikubaliki tena.
Kutumia majeshi kuwadhiti CHADEMA haitawasaidia.
Huku mtaani maisha ni magumu mno.
 
Mbinu za ajabu na zarau kwa Watanzania, wameona habari ya Katiba na Tozo watupumbaze. Ukweli ni kwamba mnajenga chuki mbaya zaidi na itaigarimu CCM zaidi,upole wa Watanzania na utu una mwisho.
 
Tabia za roho mbaya ni pamoja ya kufurahia wenzako wanapo pata shida .Ila kuna siku utakuja kujua thamani tya watu wanaokupambania.
Hakuna haja. Kama unakiuka sheria tegemea kushughulikiwa. Unaambiwa usifanye wewe unafanya, unategemea nini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…