Mbeya: Polisi wanamshikilia Suzy Keneth(19) kwa mauaji ya Mwanafunzi James Magesa (21)

Sipati picha kama aliyeuliwa anagekua mwanamke Mitandao yote ingewaka moto ila kwa kua sisi wanaume Mungu katupa moyo wa subira basi poa tu hakuna kelele.

Apumzike anapostahili mwamba
 
Young man lost his life because of mbunye. Kazi sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…