Savimbi Jr
JF-Expert Member
- Sep 23, 2011
- 6,818
- 9,183
Huyo ni Mwanakulifind Mwana KuliGet...Kwakuwa ni Mrembo anaweza akatoka kama Lulu Kanumba.Mbona naye Suzy kapotea , huwapi pole ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyo ni Mwanakulifind Mwana KuliGet...Kwakuwa ni Mrembo anaweza akatoka kama Lulu Kanumba.Mbona naye Suzy kapotea , huwapi pole ?
Ni kawaida vitoto miaka 14-20 huwa vinaupendo ule wa moyoni na hapo hawaamini kama kuna mwanaume mwingine zaidi wa aliye nae, very sad.Mademu wanaopenda kiasi hicho kumbe bado wapo........ Hawa ndio mademu, demu anaye hakikisha ni hadi kifo kiwatenganishe....
Tena habari zingine kutoka kwa mashuhuda wa karibu kabisa walio mpeleka dogo hospitali zinadai binti baada ya kumjeruhi jamaa alichomoa hicho alicho mchoma nacho, akafanya usafi na kumbadili nguo majeruhi kisha akapiga simu kwa marafiki wa jamaa kuja kumpeleka hospitali akidai hajui amekutwa na Nini. Mwili wa jamaa umeenda kukutwa na jeraha hospitali ndipo mashaka yalipo anzia.Naskiza Access FM asaiv hapa maana nipo Mbeya! Inavyosemekana ni kua dogo alikutana na huyo Demu FB wakaanza online dating, baadae dogo akamvuta binti from Dar to Mbeya ndo wakawa wanaishi kama mtu na mke, Demu alidaka sms za mchizi za mademu wengine ndio chanzo cha ugomvi wao...
Hakika upo sahihi mzee babaAngefanya mwanaume humu kungelipuka
Ova
Likishatokea kila mtu atatoka na lake, taarifa nyingine zinasema dogo (Linus) alikuwa akiishi na brother ake (brother ake anasoma MUST pia) kakake kajikita kwenye imani ya dini hivyo mienendo ya Jaluo Linus kidogo akawa hapendezwi nayo hivyo kupelekea kutofautiana kauli dogo kaamua kwenda kuishi na bibie room moja.Naskiza Access FM asaiv hapa maana nipo Mbeya! Inavyosemekana ni kua dogo alikutana na huyo Demu FB wakaanza online dating, baadae dogo akamvuta binti from Dar to Mbeya ndo wakawa wanaishi kama mtu na mke, Demu alidaka sms za mchizi za mademu wengine ndio chanzo cha ugomvi wao...
Kama gari bovuMapenzi pasua kichwa sana usipo tumia akili yatakuendesha sana
Aaahh mamaeeMademu wanaopenda kiasi hicho kumbe bado wapo........ Hawa ndio mademu, demu anaye hakikisha ni hadi kifo kiwatenganishe....
HahahaYaan vijana wa vyuo miaka hii Mapenzi yamekuwa too much compare na miaka ya nyuma... Pita jioni hadi usiku usiku mitaa kuanzia mlimani city kuja hizo hostel za mheshimiwa hadi ubungo mataa it's time for couple kila hatua couple...
KwakweliKuiga uzungu na kuiga maisha ya kitamthilia....
Upumbavu. Huyo binti ni muhanga matamthilia. Hasira za kipumbavu alizoziokota humo amezileta in real life. Tizama sasa kaua.
Huyo marehemu pia nae ni walewale..alidhania yupo kwenye love scene. Kafa.
Tuwatahadharishe vijana jamani. Kuiga kila upuuzi kwenye ma tv ni ujinga.
Binaadamu kala samaki ... Binaadamu angeliwa na samaki ingekuwa hapatoshi humuHapa hutamuona Joyce Kiria na the like....
Naam hii moment ni mbaya sana acha kabisaHuenda jamaa alikuwa anakakojoza kisawa sawaaaa... na hivi bado hakaja komaa... na miki miki kakaona kakiachwa nani atakakojoza tena.. lakini nyuma yake kuna mystery