Mbeya Rent Car

Mbeya Rent Car

clemence

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2011
Posts
594
Reaction score
212
Habari wadau,
naomba kufahamishwa kama kuna anayefahamu kampuni ya kukodisha magari jijini mbeya au hata kama kuna mtu ana gari yake naomba tuwasiliane, aina ya gari iwe rand cruiser vx/gx au hata prado ila iwe kwenye hali nzuri, naitaji kwa trh 24 june 2014. 0713 526346
 
Watu wanataka kujua kwamba hii gari inatumika kwa matumizi gani.
Mbeya ni jiji ila halijaendelea sana kwa huduma hizi.
Kama malipo ni mazuri watu hawaoni hatari kutoa ndinga Dar mpaka hapo.
Lakini kwanza Kujua yafuatayo
a)Je ni kwa kazi gani
b)Gari inakodiwa na Kampuni au mtu binafsi
c)Dhamani ya gari isiwe yenye thamani chini ya 50m,maana hapo najua ni Prado au VX Amazon.
d)Inakodiwa kwa muda gani

Hayo ni maangalizi,maana mtu anaweza kukodi gari akakuletea craper
 
Sawa mkuu kwa upand wa aina gari nimeeleza siku ni trh 24,25 na 26 june 2014. trh 24 ni airport to hotel hapohapo mby na trh 25 ni kwenda njombe trh 26 kurudi mby mojakwamoja airport. bei mwenye gari aangalie garama zake ila gari/kampuni iwe ni mby kwa maana garama ni za gari ambayo ipo mby( kama ingekuwa ni kutoka dar tungepeleka hata gari ya ofisini)
Asante kwa ushauri
 
Nipo mbeya ngoja ntauliza kwa wadau then ntakufahamisha au kukupatia contacts...ila naona nyingi wanazokodisha ni Kluger...cjui ka itakufaa
 
Kweli Mbeya Zero,
Tenda hii mpaka leo haijapata mtu?
Maana kwa Dar hata haitangazwi hii inakuwa imeishajaa
 
Asante sana mkuu, tayari nimeshapata kiongozi na jioni ya leo nitakuwa jijini kwenu hapo kiongozi
 
Watu wanataka kujua kwamba hii gari inatumika kwa matumizi gani.
Mbeya ni jiji ila halijaendelea sana kwa huduma hizi.
Kama malipo ni mazuri watu hawaoni hatari kutoa ndinga Dar mpaka hapo.
Lakini kwanza Kujua yafuatayo
a)Je ni kwa kazi gani
b)Gari inakodiwa na Kampuni au mtu binafsi
c)Dhamani ya gari isiwe yenye thamani chini ya 50m,maana hapo najua ni Prado au VX Amazon.
d)Inakodiwa kwa muda gani

Hayo ni maangalizi,maana mtu anaweza kukodi gari akakuletea craper

hahaaa, toka lini?:A S-eek:
 
Watu wanataka kujua kwamba hii gari inatumika kwa matumizi gani.
Mbeya ni jiji ila halijaendelea sana kwa huduma hizi.
Kama malipo ni mazuri watu hawaoni hatari kutoa ndinga Dar mpaka hapo.
Lakini kwanza Kujua yafuatayo
a)Je ni kwa kazi gani
b)Gari inakodiwa na Kampuni au mtu binafsi
c)Dhamani ya gari isiwe yenye thamani chini ya 50m,maana hapo najua ni Prado au VX Amazon.
d)Inakodiwa kwa muda gani

Hayo ni maangalizi,maana mtu anaweza kukodi gari akakuletea craper

Kweli Mbeya Zero,
Tenda hii mpaka leo haijapata mtu?
Maana kwa Dar hata haitangazwi hii inakuwa imeishajaa

...cc masopakyindi and Lole Gwakisa
 
Last edited by a moderator:
wewe nenda kwa watu wenye showrooms utapata gari unayotaka, sema bei ya kukodi itakuwa juu kidogo kuliko bei za dar, na watakupa driver ambaye utalazimika kumlipa!
 
Hiyo biashara ya kukodisha Magari imekuwa na makanjanja sana siku hizi wanakodisha wanaenda kuchomoa vitu original na kukuwekea FEKI. wanakurudishia gari likiwa na vitu feki. JIHADHARINI
 
Back
Top Bottom