Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Enzi za Ngosha mabasi yalisafiri usiku tena polini bila bughudha!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28],Hii nchi bhana,yaani huku bei ya mahindi imepanda kule wanafyeka mahindi ya watu kuogopa vibaka wakati polisi wapo,mgambo wapo DC yupo,RC yupo aisee
serikali hawezi fieka mashamba ya mahindi bali hoyo mahindi yamelimwa mjini nyuma ya nyumbaSerikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
View attachment 2509985
ngosha yule alie iba hela na kuficha china?Enzi za Ngosha mabasi yalisafiri usiku tena polini bila bughudha!!
Labda ndani ya fensi ila Open field Sio sawaserikali hawezi fieka mashamba ya mahindi bali hoyo mahindi yamelimwa mjini nyuma ya nyumba
Zingatia sheria ya mipango miji[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28][emoji28],Hii nchi bhana,yaani huku bei ya mahindi imepanda kule wanafyeka mahindi ya watu kuogopa vibaka wakati polisi wapo,mgambo wapo DC yupo,RC yupo aisee
Lini alienda china au wewe ulienda kumfungulia a akauntngosha yule alie iba hela na kuficha china?
Hata kama sio ya kweli jamaa aliyoyasema utetezi wako ni wa kitoto kabisa.Lini alienda china au ww ulienda kumfungulia a akaunt
Ni hatua sahihi, kupanda mazao kama mahindi maeneo ya mijini ni kuchochea na kuimarisha uharifu.Serikali ya Mtaa Iyunga Mbeya Yafyeka Mahindi Ya Wananchi Kuzuia Yasifiche Vibaka.
View attachment 2509985