Mbeya: TAKUKURU kuchunguza Majaji, Mahakimu wanaodaiwa kupokea Miamala ya Rushwa

Mbeya: TAKUKURU kuchunguza Majaji, Mahakimu wanaodaiwa kupokea Miamala ya Rushwa

BARD AI

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2018
Posts
3,591
Reaction score
8,826
Agizo limetolewa na Jaji Kiongozi wa Mahakama Kuu, Mustapha Mohamed Siyani akiitaka TAKUKURU kuchunguza tuhuma za Watumishi hao kupokea Rushwa kwa njia ya Miamala ya Simu.

Akizungumza wakati wa Sherehe za Uzinduzi wa Wiki ya Sheria, Mkuu wa Wilaya ya Mbeya Dkt. Rashid Chuachua amewatuhumu baadhi ya Majaji na Mahakimu kukiuka Maadili na kujihusisha na Rushwa.

Jaji Kiongozi amesema tuhuma hizo zikithibitika kuwa kweli bila kuathiri hatua zitakazochukuliwa na Vyombo vingine, wahusika watachukuliwa hatua za Kinidhamu na Mhimili huo.

IMG_1830.jpg
 
Huyu ndiye yule Jaji wa Ile kesi pendwa mwenye kutupilia mbali mapingamizi yote akijinasibu "Kwa maoni yake?"
 
Back
Top Bottom