Mbeya University of Science and Technology waongeza kozi nne(4)mpya

Mbeya University of Science and Technology waongeza kozi nne(4)mpya

Kapyoka

Member
Joined
Feb 28, 2013
Posts
29
Reaction score
2
Wadau, chuo kikuu cha sayansi na teknolojia Mbeya kimeanzisha kozi mpya katika ngazi ya DIPLOMA katika mwaka wa masomo wa 2014/2015. Kozi hizo ni :- 1.Food science and Technology 2. Mechatronics Engineering 3. Mining Engineering 4. Telecommunication Engineering. Mwisho wa kupokea maombi ni tarehe 15/05/2014. Kwa maelezo zaidi tembelea www.mist.ac.tz
 
sielewi hiki chuo kipo kwa ajili ya nini? ni kutengeneza wafanyakazi ama kuwa kitovu cha tekinolojia ya taifa, DIT nao mkondo uleule,eti food processing, tunahitaji innovations kwenye vyuo hivi viwili vya tekinolojia
 
Back
Top Bottom