Mbeya university of science and technology

De black

Member
Joined
Jul 7, 2013
Posts
52
Reaction score
0
Wakuu naomba mwenye taarifa ya lini chuo hiki kitatoa selectns za undergraduates pamoja na tareh ya kuripot tafadhal anijuze
 
Hata mi mdogo wangu kaomba hata hadi sasa wako kimya =, tuwe na subira
 
Majina bado.na join instruction.bado..cjui ni lini watatoa dat inf
 
Mbona kuna jamaa yangu kapata hapo must Beng electrical au we wazungumzia selection gani tena??
 
I mean majina na join instruction awajaweka kwa website yao..nami nimepangwa apo architecture
 
Jamani wakubwa, mwaka wa kwanza kuriport chuoni i mean MIST, uhakika ni lini, maake hawajaweka kwenye web yao!
 
Mi nmechaguliwa busness admin,ila cjajua join itakua ln?
 
tarehe ya kuripot n tar 20/10 ndo orientation inaanza so waweza pitia www.mist.ac.tz kwa info zaidi katka join instruction
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…