AFANDE POA POA
Senior Member
- Oct 12, 2015
- 109
- 122
Paukwa ?
Mkurugenzi wa halmashauri ya mbeya vijijini hasa mji mdogo wa mbalizi kwa nini mnaruhusu watu kulima mahindi katikati ya makazi ya watu?
Usalama wa wananchi umekuwa mdogo hasa kwa watoto mahindi yamechukua eneo kubwa yamekua kificho cha wezi mabalozi wa mtaa wapo, wenyeviti wapo, lakini tabia hizi zimekua endelevu, sasa umeme ukikatika huku ndio balaa wezi wanapita mpaka na ndala, ukikimbizana nao wanaishia kwenye mahindi.
Toeni mahindi ayo katikati ya makazi ya watu kina Inspekta Gervas wafanye kazi yao juu ya wezi na vibaka