AFANDE POA POA
Senior Member
- Oct 12, 2015
- 109
- 122
🤣🤣🤣Sawa
Wahuni tuWezi gani wanajificha kwenye mahindi ya upenuni? Watu wakose hata mahindi ya kuchoma.
HahahaWezi gani wanajificha kwenye mahindi ya upenuni? Watu wakose hata mahindi ya kuchoma.
Uliwahi kutembelea Mbeya?Wezi gani wanajificha kwenye mahindi ya upenuni? Watu wakose hata mahindi ya kuchoma.
Mwizi akijificha kwenye Mahindi kumpata ngumu wanajikaushaga unaweza ukahisi kashaondoka kumbe bado yupo umo umo..
Watu wasioijua Mbeya ilivyo wanahisi ni uonevu. Na wakazi wa Mbeya wenye hayo maeneo wabishi na wajuaji.Umenikumbusha miaka ya 2000s kuna mtanange kati ya mapolisi wakiongozwa na Afande Kova dhidi ya majambazi waliojificha kwenye shamba la mahindi forest mpya hapo Mbeya mjini.
Ilikuwa ni piga nikupige majibizano yali lapse masaa kadhaa majamaa yamejichimbia kwenye shamba la mahindi.
Mitaa ya kwa DHANDO kuja Forest Mpya siku hiyo haikupitika make ilikuwa mwendo wa paaah paaah...!
Hapo Mbeya huu utamaduni wa kulima mahindi katikati ya makazi ya watu hawajaacha tu!
Hawa watu wa huku wahuniUmenikumbusha miaka ya 2000s kuna mtanange kati ya mapolisi wakiongozwa na Afande Kova dhidi ya majambazi waliojificha kwenye shamba la mahindi forest mpya hapo Mbeya mjini.