Vishu Mtata
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 21,593
- 46,759
Nakuja kuweka muvi za dj maki mkuuAhahahaha wee acha tuu..
Mkuu kwa sasa nina library kubwa hapa gomzi aiseeee
Nakuja kuweka muvi za dj maki mkuuAhahahaha wee acha tuu..
Mkuu kwa sasa nina library kubwa hapa gomzi aiseeee
Huo umbali sasa!😀Sio skuizi..
Wewe toka zzamani ushazoea si ajabu unatoka kadeghe mpaka iyunga alafu hapa unasema et sku izi chocho to chocho 😂😂😂😂😂😂😂
Happ karibu mkuu nishatoka forest ya zamani mpaka uyole an pita mwanj- kabwe_ nikaingia pale kwa mama john nikatokea nane nane kwandani nikapita mpka isyesye kule huyo mpaka iteziHuo umbali sasa!😀
Nina bro angu mmoja naye eti alitembea toka Mwanjelwa Hadi ofisi za mkoa kiguu na njia.
Nikasema huyu anatafuta sababu akijipata aseme alipambana Sana.
Halafu kwenye kura mbio mbio kuipigia CCM! Kingekuwa kinajielewa, kwa miaka 60+ ya uhuru na utajiri lukuki wa nchi kungekuwa na mifumo imara sana na mizuri ya usafiri wa umma. Sio huu ushubwada uliopo sasa!Hivi ninyi viongozi wa Bajaji jiji la Mbeya mna matatizo gani?
Sawa tumekubaliana kuwa madereva wote wa Bajaji tubebe Abiria Kwa nauli ya shilingi 800 kituo Hadi kituo,Sasa Kuna shida gani kama Abiria ameniomba Kwa shilingi 500.
Maana mnatangaza kabisa eti mkitukamata tukiwa tunachukua nauli za shilingi 500 mnatupiga faini.
Kwani ninyi viongozi mnaumia na Nini sisi tukibeba Abiria Kwa nauli ya shilingi 500?
Hii ni biashara huria hivyo mtuache tuendelee na kazi yetu,kama Kuna dereva anaona mia tano kwake ni ndogo aache tuwabebe sisi ambao tumetumwa kutafuta pesa.
View attachment 3406184
kwani mbaliHuo umbali sasa!😀
Nina bro angu mmoja naye eti alitembea toka Mwanjelwa Hadi ofisi za mkoa kiguu na njia.
Nikasema huyu anatafuta sababu akijipata aseme alipambana Sana.