Mbeya: Viongozi wa Bajaji Mbeya Jiji tuacheni na Abiria wetu tunajuana wenyewe

Sio skuizi..
Wewe toka zzamani ushazoea si ajabu unatoka kadeghe mpaka iyunga alafu hapa unasema et sku izi chocho to chocho 😂😂😂😂😂😂😂
Huo umbali sasa!😀
Nina bro angu mmoja naye eti alitembea toka Mwanjelwa Hadi ofisi za mkoa kiguu na njia.
Nikasema huyu anatafuta sababu akijipata aseme alipambana Sana.
 
Hahahahahah
 
Happ karibu mkuu nishatoka forest ya zamani mpaka uyole an pita mwanj- kabwe_ nikaingia pale kwa mama john nikatokea nane nane kwandani nikapita mpka isyesye kule huyo mpaka itezi
 
Halafu kwenye kura mbio mbio kuipigia CCM! Kingekuwa kinajielewa, kwa miaka 60+ ya uhuru na utajiri lukuki wa nchi kungekuwa na mifumo imara sana na mizuri ya usafiri wa umma. Sio huu ushubwada uliopo sasa!
 
Hahahahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…