Mbeya :Viongozi wa Ccm Wilaya ya Rungwe acheni kuwapambani baadhi ya wagombea

Mwanongwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2023
Posts
879
Reaction score
814
Aliyekuwa Mhe Diwani kata ya Mpombo -na Mwenyekiti WA Halmashauri ya Busokelo wilaya ya Rungwe mkoani Mbeya anayejulikana Kwa Jina la Anyosisye Njobelo ameamua kutumia hongo ili Jina lake lirudi.

Baada ya kukatwa
Anarudishwa Kwa kutumia mlango Wa nyuma Kwa Kuhonga kisa eti yeye anajinasibu kusema haoni MTU atakaye fit nafasi ya m/kiti Wa Halmashauri zaidi yake yeye

Mpaka kufikia siku ya jumanne Jina lake lilikuwa halijarudi lakini Ccm wilaya ya Rungwe wamefanya sarakasi zao na kurudisha Jina .

Hakika hii ni balaa,tutashuhudia Mengi safari hii

Huu uchaguzi ni wa moto sana sababu Kila mgombea anajua akipita tu Kwenye huu mchakato wa wajumbe wenye roho Mbaya basi anauhakika wa October maana hakutakuwa na upinzani tena
 
Wewe ni mtia nia kwenye udiwani, au una bifu naye tu?
 
Fisiem ni Fisiem tu
Kazi ni kipimo cha utu
 
Back
Top Bottom