Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya miaka mitatu na kulia na ugumu wa maisha unaowakabili.