Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.

Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.

Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.

Mungu ibariki Chadema
 
Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima , hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa ,
Wamesababisha hasara kubwa kwa watanzania hawa bila sababu huku akina Eltwege, countrywide na John wakifurahia
 
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020 , yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani...
Watanzania tuna kila sababu ya kumshukuru Mungu kwa lile alilotufanyia tarehe 17 03 2021. Yule hayawani alikuwa anaenda kuiangamiza kabisa nchi yetu

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Nimesoma Tanzania Daima kuwa IGP amejiywisha mzigo wa Ben na AZORY is that true?
Nimeona hiyo habari kwa juu juu tu , lakini naamini hakuna Polisi wa Tanzania awezaye kufukunyua jambo hilo , Hakuna .
 
Back
Top Bottom