Mbeya: Wanachama 7 wa CHADEMA walioswekwa Rumande waachiwa huru

Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.

Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.

Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.

Mungu ibariki Chadema
Usimseme vibaya Balozi wetu amekwenda kututafutia soko la vidole gumba Zimbabwe!!!
 
Kisha utasikia mijitu isio na akili ikimsifia Magufuli, kitu katili na lenye roho mbaya sana. Mungu ashukuriwe
Kama vipi jinyonge, maana umeandika kwa hasira za kupasuka. Kima wee!
 
Waende kufanya kazi kufidia siku walizopoteza
 
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.

Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.

Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.

Mungu ibariki Chadema
Mungu wetu yu mwema, mapambazuko yanakaribia
 
..majina na picha zao tafadhali.

..Ni vizuri wakajitokeza hadharani na kueleza dhuluma waliyotendewa.

..wawe na ujasiri wa kueleza mkasa wao kama alivyofanya Mdude Nyagali.
Kuna video nyingi mno za mapokezi yao uraiani , wameongea maneno mazito mno , ngoja tujaribu kuweka hapa
 
Wanachama Saba wa Chadema wa Mkoani Songwe waliobambikiwa Makosa ya uongo wakati wa Uchaguzi Mkuu wa 2020, yaliyotengenezwa kinafiki na watu waoga walioshindwa hoja za majukwaani, na kurundikwa Jela kwa uonevu KWA MUDA WA ZAIDI YA MIEZI 18, Leo wameachiwa huru kutoka Jela na Mahakama Kuu kanda ya Mbeya, BAADA YA SERIKALI KUTOKUWA NA NIA YA KUENDELEA NA KESI HIYO.

Unyama kama huu wa kishamba wametendewa Viongozi na Wanachama wengi wa Chadema Nchi mzima, hasa baada ya serikali ya awamu ya 5 kushindwa kabisa kujibu HOJA NZITO ZA CHADEMA kwenye Majukwaa ya kisiasa , ndipo wakaamua kutumia Jeshi la Polisi chini ya Simon Sirro kuwakomesha wanachama wa Chadema.

Bali sisi kama tulivyosema siku zote, na Tunarudia tena kusisitiza kwamba KILA UBAYA UTALIPWA TU.

Mungu ibariki Chadema
Uzuri Mtesaji mkubwa Kalala Chato
 
Ibilisi joka kuu aliyesababisha madhila yote haya dua zetu ziwe kwake aendelee kuchomeka.
 
Shetani kwa mujibu wa maandiko kwenye biblia alishafungwa minyororo huko kuzimu hadi siku ya kiyama
 
Back
Top Bottom