Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Huko Mbeya kama ilivyo kila Mahali Tanzania kuna kilele cha Maonesho ya Wakulima au maonesho ya Nanenane.
Pamoja ni bidhaa mbali mbali za kilimo ikiwemo vifaa vyake kama Matreka kuonyeshwa, kivutio kikubwa ni Bango lenye maelezo ya Utekaji, Watu wengi wamejazana mahali lilipo bango hilo, hasa ikizingatiwa kwamba yule Kijana aliyelipa faini kwa tuhuma za kuchoma picha ya Rais Samia , Ametekwa na hajulikani alipo huku tetesi zikisema Wamemuua.
Bango lenyewe hili hapa
Labda kwa wasio na Miwani hili bango limeandikwa hivi, Nanukuu "ABDUL AKITEKWA SAMIA ATAKAA KIMYA?" Mwisho wa Kunukuu.